Rais Dkt.Mwinyi arejea nchini kutoka Qatar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea nchini Qatar,baada ya kumalizika kwa Jukwaa la Doha (Doha Forum) lililofanyika jijini Doha, alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar, Mhe Mahmoud Muhammed Mussa, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea nchini Qatar,baada ya kumalizika kwa Jukwaa la Doha (Doha Forum) lililofanyika jijini Doha, alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news