Rais Dkt.Samia akabidhi tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa mmoja wa Mshindi Kampuni ya TCC wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam Desemba 17, 2023
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa Mshindi wa jumla Kampuni ya Tanzania Breweries (TBL) wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2023.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa mmoja wa Mshindi Kampuni ya TotalEnergies wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Heshima kutoka kwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) Paul Makanza wakati wa hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2023

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news