Rais Dkt.Samia azindua mradi wa nishati safi ya kupikia


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia video fupi kuhusu matumizi ya Nishati ya kupikia kabla ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi wakati Viongozi mbalimbali walipokuwa wakichangia umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28). Viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28). Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28). Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa akiwa kwenye uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi pamoja na Viongozi wengine mara baada ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kuzindua Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.Viongozi mbalimbali wakichangia umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan alizindua Mradi huo kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28). Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Norway Mhe. Anne Beathe Tvnnereim akizungumza kuhusu umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye uzinduzi wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinumwi Adesina akizungumza kuhusu umuhimu wa Mradi wa Nishati Safi ya kupikia itakayowasaidia Wanawake Barani Afrika (AWCCSP), katika Mkutano uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 02 Desemba, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news