TANZIA:Mtanzania afariki baada ya kuanguka ghafla akiwa kazini nchini Marekani, aliondoka nchini miezi mitatu iliyopita

NEW YORK-Kwa masikitiko makubwa Mtanzania mwenzetu Hamidu Rubawa hatunaye tena. Marehemu alifikwa na umauti siku ya Jumanne ya Novemba 28, 2023 baada ya kuanguka ghafla akiwa kazini na kukimbizwa hospitali,lakini hakuweza kuamka tena.
Mpendwa wetu alikuja Marekani miezi mitatu iliyopita akitokea nyumbani Tanzania kuja kutafuta maisha.

Baada ya kukaa New York kwa takribani mwezi mmoja rafiki yake alimtafutia kazi ya Caregiver Portland, Oregon ambapo ndiko alikofikwa na umauti.

Mwili bado upo hospitali kwa uchunguzi zaidi.Familia imeomba tushirikiane nao kuusafirisha mwili wa mpendwa wao nyumbani Tanzania kwa mapumziko yake ya milele.

Marehemu ameacha mke ambaye ni mjamzito na watoto watatu.Mawasiliano yanafanyika ili kupata taarifa kamili za gharama za kuusafirisha mwili. Tumeanza kukusanya michango kwa ajili ya kukamilisha suala zima.

Naomba tusaidiane kushikana mkono tuweze kumstiri Mtanzania mwenzetu.

Tuma rambirambi zako kupitia.

CASHAPP $GK254

PHONE 503-344-7157

or ZELLE-503-344-7157

Name:KELVIN KAMWARO

Kwa niaba ya familia tunatanguliza shukurani. na Mwenyezi Mungu akuzidishie pale ulipopunguza kwa ajili ya mpendwa wetu.

Siri ya kifo ni Mwenyezi Mungu ndie ajuae.

Innaa lillaahi Wainnaa illaihi raajiuun

CONTRIBUTION LIST.

1.Kelvin Kamwaro $ 100

2.Maggie&Kez. $ 100

3.Vainnet Nyandoro $ 10

4.Suzzette Williams $ 50

5.Esther Nyiha $ 50

6.James Lupembe $ 50

7.Vaileth Mukoba. $ 50

8.Farida Lyamuya. $ 50

9.Aquliner Mboye. $ 50

10.Lulu Komanya. $ 50

11.Mchanake Magere. $ 30

12.David Musika. $ 30

13.Hilda Mitema. $ 50

14.Grace Munetsi. $ 30

15.Getrude Mkumbo. $ 50

16.

17.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news