Hassan Mwakinyo atwaa mkanda wa WBO Africa Middle Weight

ZANZIBAR-Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa WBO Africa Middle Weight.
Ni baada ya kumtwanga kwa KO ya raundi ya 7 bondia kutoka Ghana, Elvish Ahorgah kwenye pambano la Mtata Mtatuzi.

Pambano hilo limepigwa usiku wa kuamkia leo ndani ya Indoor ya New Amaan Complex jijini Zanzibar.(ZBC)

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news