LIVE:Utoaji maoni ya miswada ya Sheria ya Uchaguzi,Vyama vya Siasa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi


Tanzania Connection inakukaribisha kushiriki kwenye mkutano wa Zoom unaofanyika leo Jumamosi ya Januari 6,2024 kuanzia saa 4:30 asubuhi.
Katika mkutano huu, mada kuu ni Mjadala wa Kitaifa kuhusu utoaji maoni ya miswada ya Sheria ya Uchaguzi,Vyama vya Siasa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Unaweza kushiriki moja kwa moja kupitia Zoom kwa kutumia viunganishi vifuatavyo;

Join Zoom Meeting


Meeting ID: 838 3898 6221

Passcode: 735927

NYOTE MNAKARIBISHWA🙏

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news