Mtu huyu atakusaidia kuinua biashara yako iliyoanguka!

NAKURU-Nilikuwa mfanyibiashara aliyefanikiwa katika suala zima la biashara, nilikua na maduka ya kuuza bidhaa za kielektroniki kama vile radio, simu, laptop na bidhaa zingine.
Wafanyabiashara wengine walianza kunionea gere, kwani walishusha bei ya bidhaa zao ili kuwavutia wateja,lakini hilo halikufua dafu kivyovyote.

Ama hakika biashara ndio ilikua, kipaji changu cha maishani, nilikua nimesomea mambo ya biashara chuoni hii pia ilinipiga jeki katika shughuli zangu za kila siku za biashara.

Hali ilikuwa shwari hadi wakati ambapo maduka yangu yalianza kuvunjwa na kuibiwa kila mara, maduka yangu yalikua yakivunjwa kila baada ya wiki mbili na kuibiwa mali.

Nilijaribu kuajiri walinzi, lakini wengi wao ndio waligeuka na kuwa wezi katika maduka yangu.

Hii ilikua ni fursa nzuri ya wafanyiabiashara wenye biashara kama yangu kutia fora, kwani wizi ule ulinirudisha hatua nyingi nyuma.

Nilitembea kila sehemu nchini nikitafuta suluhisho la kudumu la hali ile lakini sikufanikiwa.

Siku moja niliamkia kwenye maduka yangu nikapigwa na butwaa punde tu nilipowasili. Maduka yote yalikuwa wazi. Bidhaa zote zilikua zimeibiwa tena.

Nilipoangalia kwenye kamera za CCTV hakuna chochote kilichoonekana, sikupoteza imani na biashara ile kwani nilitafuta mkopo benki na nikafungua biashara nyingine, wakati huu niliajiri walinzi wengi ili kuepukana na wizi wa kila mara kwenye biashara.

Biashara ilikaa kwa muda wa mwaka moja bila ya wizi wowote kufanyika hali ambayo ilileta mapato mengi zaidi, nililipa mikopo yangu niliyokua nayo na hapo nikajipiga kifua kwamba wizi ulikua umetokomea na tukauzika katika kaburi. Huu ulikuwa tu ni mwanzo wa mahangaiko.

Maduka yale yalivunjwa mara nyingine tena ambapo mara hii yaliteketezwa moto pia ili kufanya nisiweze kufungua biashara kwa mara nyingine iwapo nilikua na wazo kama hilo.

Sikuwa na lolote la kufanya ila kusalimu amri na kukaa nyumbani na msongo wa mawazo ukinikumba.

Hali hii ilipelekea vidonda vya tumbo kunikosesha usingizi, marafiki wote walinitoroka kwani kila waliponiona walidhani ilikua fursa yangu ya kuwaomba mikopo.

Kampuni ya bima niliyokuwa nimejisajili nayo pia ilikataa wakati ule kunipa fidia ili nifufue biashara yangu.

Nilipokuwa nikisoma mitandaoni kuhusu kazi nyingine ambazo ningefanya, nilikutana na tovuti www.african-doctors.com palikua na makala ambazo watu wengi walikuwa wamepitia shida kama yangu kwenye biashara zao lakini African Doctors waliwasaidia.

Nilifika katika ofisi zao mjini Nakuru, nilihudumiwa na kurejea nyumbani, baada ya siku tatu, kampuni ya bima ilinipigia simu ya kwamba watagharamia maduka yangu yote yaliyoibiwa na kuteketezwa moto.

Baadaye nilifungua biashara zangu kwa mpigo na tangu siku ile hakuna siku hata moja maduka yangu yamevunjwa.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news