Rais Dkt.Samia afungua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Mandhari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar kama linavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Januari, 2024.
Mandhari ya ndani ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar kama linavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwagilia mti maji mara baada ya ufunguzi wa Hospitali ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news