Chelsea yaonesha utayari utalii, michezo Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea fulana ya Klabu ya Chelsea ya England kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Mauzo, Banes Hampel wakati ujumbe wa klabu hiyo ulipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana Februari 1,2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Timu ya Chelsea ya England (kushoto) wakati walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana ambapo wamegusia kuitangaza Zanzibar katika Sekta ya Utalii na kuanzisha Vyuo vya Mpira wa Miguu.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news