Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 21,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.34 na kuuzwa kwa shilingi 17.39 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.39 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 21, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3173.99 na kuuzwa kwa shilingi 3206.75 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.01.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2514.85 na kuuzwa kwa shilingi 2540 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8175.59 na kuuzwa kwa shilingi 8248.63.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1861.19 na kuuzwa kwa shilingi 1879.25 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2856.16 na kuuzwa kwa shilingi 2883.09.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1650.49 na kuuzwa kwa shilingi 1667.51 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3331.57 na kuuzwa kwa shilingi 3364.89.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 242.44 na kuuzwa kwa shilingi 244.82 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.83 na kuuzwa kwa shilingi 134.10.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 684.72 na kuuzwa kwa shilingi 691.51 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 161.38 na kuuzwa kwa shilingi 162.81.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2719.06 na kuuzwa kwa shilingi 2747.26.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 21st, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED684.7232691.514688.118621-Feb-24
2ATS161.3781162.808162.09321-Feb-24
3AUD1650.4971667.511659.003521-Feb-24
4BEF55.047655.534955.291321-Feb-24
5BIF0.87640.88450.880421-Feb-24
6BWP183.3327185.674184.503321-Feb-24
7CAD1861.19861879.25421870.226421-Feb-24
8CHF2856.1632883.08742869.625221-Feb-24
9CNY349.6005352.9935351.29721-Feb-24
10CUC104.7855105.8333105.309421-Feb-24
11DEM1007.67381145.4341076.553921-Feb-24
12DKK364.8467368.4684366.657521-Feb-24
13DZD18.760118.8718.815121-Feb-24
14ESP13.346313.464113.405221-Feb-24
15EUR2719.05742747.2642733.160721-Feb-24
16FIM373.478376.7875375.132821-Feb-24
17FRF338.5318341.5264340.029121-Feb-24
18GBP3173.99413206.753190.37221-Feb-24
19HKD321.5347324.7459323.140321-Feb-24
20INR30.325830.622430.474121-Feb-24
21IQD1.92121.93751.929321-Feb-24
22IRR0.05990.06050.060221-Feb-24
23ITL1.14691.1571.151921-Feb-24
24JPY16.762316.926616.844421-Feb-24
25KES17.343817.397317.370521-Feb-24
26KRW1.8871.90521.896121-Feb-24
27KWD8173.59438248.62798211.111121-Feb-24
28MWK1.38811.49411.441121-Feb-24
29MYR524.4737529.1667526.820221-Feb-24
30MZM39.086939.416539.251721-Feb-24
31NAD132.829134.1219133.475421-Feb-24
32NGN1.56661.58031.573421-Feb-24
33NLG1007.67381016.611012.141921-Feb-24
34NOK240.1822242.5076241.344921-Feb-24
35NZD1552.66931569.2121560.940721-Feb-24
36PKR8.55649.07868.817521-Feb-24
37QAR689.832696.2719693.05221-Feb-24
38RWF1.95952.00571.982621-Feb-24
39SAR670.5734677.2069673.890221-Feb-24
40SDR3331.57343364.88913348.231221-Feb-24
41SEK242.4421244.8193243.630721-Feb-24
42SGD1871.5871889.17811880.382621-Feb-24
43TRY81.384182.176781.780421-Feb-24
44UGX0.62160.65380.637721-Feb-24
45USD2514.851525402527.425721-Feb-24
46GOLD5104368.910951562005130284.455421-Feb-24
47ZAR132.8269134.1056133.466221-Feb-24
48ZMK107.8095110.5453109.177421-Feb-24
49ZWD0.47060.48010.475421-Feb-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news