Kazi kubwa imefanyika kupeleka umeme vijijini,James Mabula ashukuru


"Ninamshukuru Rais kumteua Mwenyekiti wetu wa Bodi na ninamshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini.

"Ninaahidi kushirikiana na Wajumbe wenzangu pamoja na Menejimenti nzima ya REA kuhakikisha kwamba tunasukuma gurudumu la maendeleo.

"Kazi kubwa imekwishafanyika mpaka sasa, nadhani kazi yetu itakuwa rahisi maana tunaanzia sehemu ambayo ni nzuri zaidi,"James Mabula,Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini - Feb. 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news