Monduli wamuaga hayati Lowassa


Viongozi wa Serikali, pamoja na Viongozi wa Vyama vya siasa, wazee wa kimila, viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla wamejitokeza kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha leo tarehe 16 Februari 2024

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news