Mtoto amepotea kutoka Arusha,tunatafuta ndugu zake

LUBUMBASHI-Huyu mtoto (pichani) ni mtanzania ametoroka Tanzania (anadai ametoka Arusha) na kusafiri kwenda Kongo (DRC).
Hivi sasa yupo katika ofisi za Ubalozi Mdogo wa Tanzania, Lubumbashi, DRC.

Maelezo yake ni;

1. Jina ni Hazad
2. ⁠Baba yake anaitwa Sunday
3. ⁠Mama yake anaitwa Mama Jane
4. ⁠Alisoma shule ya msingi Songambele - hafahamu shule kama ipo Arusha, Moshi au Dar es Salaam. Ameishia darasa la pili

5. ⁠Mwalimu mkuu wa shule yake anaitwa Juma
6. ⁠Mwalimu wa darasa anaitwa Sele
7. ⁠Rafiki yake anaitwa Adonai
8. ⁠Ndugu zake Jack, Sarah, Irene na Khadija.

Ombi; Kwa ambaye atamtambua mtoto huyo tafadhali toa taarifa kupitia namba ya whatsapp ifuatayo;

+255787220162

TAFADHALI SAMBAZA KWENYE MAGROUP MENGINE NDUGU ZAKE WAPATIKANE

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news