Musoma Vijijini kuongezewa nguvu ya mawasiliano

NA FRESHA KINASA

IMEELEZWA kuwa, katika kuhakikisha mawasiliano yanaimarika kila kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma itaongezewa uwezo wa mawasiliano kwa kujengewa mnara mpya wa mawasiliano kwenye kijiji kimoja.
Hayo yamebainishwa leo Februari 5, 2024 kupitia taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara, ikielezea kuhusu ujenzi wa minara mipya ya mawasiliano.

"Minara itakayojengwa ni yenye uwezo wa 2-4G. Na gharama ya ujenzi wa mnara mmoja ni takribani shilingi milioni 300."

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news