Prof.Muhongo atoa ushauri wa namna yake maboresho ya elimu

NA DIRAMAKINI

MBUNGE wa Jimbo la Musoma Vijijni mkoani Mara, Mheshimiwa Prof. Sospeter Muhongo ametoa ushauri wa kuboresha elimu nchini iendane na matakwa ya ukuaji wa uchumi wa wakati huu.
Prof. Muhongo ametoa ushauri huo Bungeni jijini Dodoma Februari 7, 2024. Ambapo ameonesha umuhimu wa kuwekeza kwenye masomo ya Sayansi na Teknolojia.

Katika kuonesha umuhimu huo, ametolea mfano nchi ya India ambayo mwaka jana (2023) pato lake la Taifa (GDP), lilikuwa la tano (5) Duniani lenye dola za Kimarekani Trilioni 3.7, sawa na asilimia 3.7 ya GDP ya Dunia.

Tafadhali sikiliza video iliyoambatanishwa hapa chini ambayo ina mchango wote wa Prof. Muhongo bungeni jijini Dodoma;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news