TEF:Tutamkumbuka daima Edward Ngoyai Lowassa

DAR ES SALAAM-Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitishwa na kifo cha Mhe. Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani aliyefariki dunia Februari 10, 2024 jijini Dar es Salaam katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa anapatiwa matibabu.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu ya msiba wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news