Treni ya umeme yaanza majaribio ya kawaida Dar


Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) ikipita maeneo ya Pugu Jijini Dar es Salaam katika majaribio yake ya kawaida. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni hiyo ya SGR kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi Mkoani Pwani na hivi karibuni itaendelea na majaribio hayo mpaka mkoani Morogoro. Huduma rasmi za Usafiri huo zinatarajiwa kuanza mwezi wa Julai, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news