Uchaguzi utakuwa huru na haki, Rais Dkt.Samia awaeleza Mabalozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania wakiwa pamoja na baadhi ya Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba akiwa na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.
Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa kimya kwa dakika moja kumuombea Rais wa Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob wakati wa Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news