Waziri Mkuu akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu Cleopa David Msuya


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya, wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa mauziano ya hisa za kampuni ya Wentworth na mkataba wa uendeshaji wa Kitalu cha Mnazibay kati ya TPDC na kampuni ya Maurel and Prom, Ikulu, Chamwino jijini Dodoma Februari 03, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya, wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa mauziano ya hisa za kampuni ya Wentworth na mkataba wa uendeshaji wa Kitalu cha Mnazibay kati ya TPDC na kampuni ya Maurel and Prom, Ikulu, Chamwino jijini Dodoma Februari 03, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news