Waziri Mkuu ateta na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB

DODOMA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna. Pamoja na mambo Mengine Mheshimiwa Majaliwa amepongeza mafanikio makubwa yaliyofikiwa na benki hiyo kwa hesabu za mwaka 2023.
Kwa upande wake, Bi.Zaipuna ameshukuru na kupongeza ushirikiano wanaoupata kutoka kwa Serikali pamoja na mazingira bora ya utendaji ya biashara ambayo yamechangia ukuaji wa benki hiyo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news