Yanayojiri Kijiji cha Ngarash nyumbani kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akiwafariji watoto wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha tarehe 15 Februari, 2024.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella akizungumza na Makatibu Wakuu kwenye msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, msibani katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Rombo Mhe. Joseph Selasini kwenye Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wake Bw. Anderson Mutatembwa katika Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani kwake katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news