DKT.BITEKO MGENI RASMI HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI AICT MWANZA

MWANZA-Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 16 Machi, 2024 anashiriki katika ibada Maalum ya Uwekaji wa jiwe la Msingi la jengo la Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) inayofanyika jijini Mwanza.
Ibada hiyo inahudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Maaskofu wa AICT, Wachungaji na Waumini. Taarifa rasmi itakujia punde...

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news