Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 10,2024

NJOMBE-Mahakama ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imemhukumu, God Yuton mwenye miaka 41, mkazi wa Kijiji cha Iwawa kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kubaka. Hukumu hiyo imetolewa Machi 6, 2024 na Hakimu Mfawidhi Mwandamizi wa Wilaya ya Makete, Mhe. Ivan Msaky.

Mtuhumiwa alitenda kosa hilo Januari 23, 2024 huko katika Kijiji cha Iwawa Makete ambapo alimbaka mwanafunzi wa kidato cha sita, Shule ya Sekondari Iwawa.

Aidha,Mahakama imemkuta na hatia baada ya ushahidi wa kutosha ulitolewa mahakamani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.







Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news