Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 21,2024

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo , Dorothy Semu amemteua Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho, Isihaka Mchinjita kuwa Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo.

Uteuzi huo umefanyika Machi 20, 2024 wakati Dorothy Semu alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu kuunda Baraza Jipya la Mawaziri Vivuli la ACT Wazalendo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news