Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 24,2024

DAR ES SALAAM-Brenda Msangi ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa CCBRT ametunukiwa Tuzo ya Uongozi wa Huduma za Jamii akiwa amehudumu katika sekta ya afya kwa miaka 17.

Msangi ni mwanamke wa kwanza mfamasia kuongoza taasisi kubwa yenye hospitali inayotoa huduma za matibabu hapa nchini.

Chini ya uongozi wake mengi yamefanyika CCBRT ikiwa ni pamoja na kuongeza wigo katika tiba kutoka macho mpaka sasa CCBRT inatoa huduma za kibingwa na bobevu.







Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news