Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 27,2024

LONDON-Waandishi wa Makala za Utalii katika vyombo vya habari nchini Uingereza wanatarajiwa kuhudhuria semina maalum ya kuelezea fursa za utalii nchini Tanzania itakayofanyika Machi 28, 2024 katika Ubalozi wa Tanzania jijini London. Semina hiyo itafunguliwa na Balozi Mbelwa Kairuki saa 11 jioni.

























Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news