Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 23,2024

KIGALI-Mahakama ya Juu nchini Rwanda, imemzuia kiongozi wa upinzani nchini humo, Victoire Ingabire, kuwania kiti cha urais kwenye uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Julai,2024.


Majaji wa mahakama hiyo mjini Kigali wametupilia mbali ombi la Ingabire akitaka kurejeshewa haki yake ya kiraia na hivyo kumzuia kugombea katika uchaguzi ujao.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news