Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 1,2024

TANGA-Mzee wa Kanisa la Waadventista Wasabato la Muheza Central, wilayani hapa mkoani Tanga, John Mdoe, amewafuturisha waumini wa dini ya Kiislamu.

Mdoe kwa kushirikiana na familia yake, wametoa sadaka hiyo kwa zaidi ya Waislamu 100 nyumbani kwake, Mtaa wa Mdote. Mgeni rasmi alikuwa Shekhe wa Wilaya ya Muheza, Abdallah Seif na ilihudhuriwa pia na Katibu wa BAKWATA wilaya hiyo, Shabani Nguzo.
Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news