TANESCO:Hitilafu kwenye Mfumo wa Gridi ya Taifa

DODOMA-Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirisha umeme ya gridi ya taifa kuanzia 8:22 usiku hivyo kusababisha baadhi ya maeneo nchini kukosa huduma ya umeme

TANESCO imeeleza kuwa,wataalamu wao wanaendelea na jitihada za kurejesha huduma.

Shirika limewaomba uvumilivu wateja wake katika kipindi hiki ambacho huduma ya umeme imekosekana;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news