Kamati ya Bunge yaipa kongole DCEA mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini

DAR ES SALAAM-Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria imefanya ziara ya kikazi katika ofisi za Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) jijini Dar es salaam, kwa lengo la kujionea utendaji kazi pamoja na kuipongeza Mamlaka kwa ukamataji mkubwa wa dawa ya kulevya uliofanyika mwaka 2023.
Akizungumza katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dkt. Joseph Mhagama amempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama pamoja na timu yake kwa mafanikio hayo ambayo yamechagizwa na jitihada zinazofanywa na Serikali katika kuiwezesha mamlaka kutekeleza majukumu yake kikamilifu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news