Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar yatangaza mfungo wa Ramadhan

ZANZIBAR-Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar leo Machi 11,2024 imesema kuanzia kesho Machi 12,2024 Waislamu watapaswa kuanza kufunga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan baada ya mwezi kuandama leo.
Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, Khalid Mfaume ndiye aliyetangaza taarifa hiyo kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar ambaye ndiye mwenye dhamana ya kutangaza.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news