WANAWAKE TUME YA MADINI MAKAO MAKUU, OFISI ZA MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA WASHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

LEO tarehe 08 Machi, 2024 wanawake kutoka Tume ya Madini Makao Makuu pamoja na Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa, wameungana na wanawake wengine duniani kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani.
Kaulimbiu ya siku ya wanawake kwa mwaka huu ni “Wekeza Kwa Wanawake Kuharakisha Maendeleo Ya Taifa na Ustawi wa Jamii".

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news