Dkt.Biteko ashiriki semina ya wabunge kuhusu Nishati


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo (Aprili 30, 2024) ameshiriki katika semina ya wabunge, Jijini Dodoma ambapo miongoni mwa yaliyojiri ni upatikanaji wa umeme vijijini, matumizi ya gesi asilia katika magari na uimarishaji wa umeme kupitia gridi ya Taifa.
Pia Wabunge wamezungumzia umuhimu wa matumizi ya Nishati Safi ya kupikia sambamba na kupokea majibu ya maswali yaliyoibuliwa wakati wa maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyohitimishwa tarehe 19 Aprili, 2024 Jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news