Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 19,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1873.04 na kuuzwa kwa shilingi 1881.13 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2818.43 na kuuzwa kwa shilingi 2845.37.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 19, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 234.78 na kuuzwa kwa shilingi 237.09 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.34 na kuuzwa kwa shilingi 135.65.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 697.87 na kuuzwa kwa shilingi 704.66 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 164.45 na kuuzwa kwa shilingi 165.91.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2732.97 na kuuzwa kwa shilingi 2760.56.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1639.66 na kuuzwa kwa shilingi 1659.67 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3370.34 na kuuzwa kwa shilingi 3404.05.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.30 na kuuzwa kwa shilingi 19.35 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.65 na kuuzwa kwa shilingi 0.68 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2562.80 na kuuzwa kwa shilingi 2588.43 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8216.19 na kuuzwa kwa shilingi 8393.91.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3192.23 na kuuzwa kwa shilingi 3225.18 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 19th, 2024 according to Bank of Tanzania (BoT);
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED697.8738704.6607701.267219-Apr-24
2ATS164.4551165.9122165.183719-Apr-24
3AUD1649.67561666.69011658.182919-Apr-24
4BEF56.097256.593856.345519-Apr-24
5BIF0.89030.89850.894419-Apr-24
6BWP185.0343187.4023186.218319-Apr-24
7CAD1863.0431881.12651872.084719-Apr-24
8CHF2818.43392845.36662831.900319-Apr-24
9CNY354.0956357.5772355.836419-Apr-24
10CUC106.7834107.8513107.317319-Apr-24
11DEM1026.8871167.2741097.080519-Apr-24
12DKK366.303369.9131368.10819-Apr-24
13DZD19.110519.222419.166419-Apr-24
14ESP13.600813.720813.660819-Apr-24
15EUR2732.9722760.56062746.766319-Apr-24
16FIM380.5991383.9717382.285419-Apr-24
17FRF344.9866348.0382346.512419-Apr-24
18GBP3192.22613225.18383208.70519-Apr-24
19HKD327.2261330.4941328.860119-Apr-24
20INR30.679530.980830.830119-Apr-24
21IQD1.95781.97441.966119-Apr-24
22IRR0.0610.06160.061319-Apr-24
23ITL1.16871.17911.173919-Apr-24
24JPY16.599516.764416.68219-Apr-24
25KES19.305519.352719.329119-Apr-24
26KRW1.86211.87991.87119-Apr-24
27KWD8316.19558393.90998355.052719-Apr-24
28MWK1.37341.47911.426219-Apr-24
29MYR536.0389540.8337538.436319-Apr-24
30MZM39.788940.124539.956719-Apr-24
31NAD134.4118135.7324135.072119-Apr-24
32NGN2.23332.25172.242519-Apr-24
33NLG1026.8871035.99361031.440319-Apr-24
34NOK232.8402235.1323233.986219-Apr-24
35NZD1517.17881533.38591525.282419-Apr-24
36PKR8.74999.28259.016219-Apr-24
37QAR703.0042709.4505706.227419-Apr-24
38RWF1.97422.02041.997319-Apr-24
39SAR683.2135690.0088686.611119-Apr-24
40SDR3370.34293404.04633387.194619-Apr-24
41SEK234.7856237.0943235.9419-Apr-24
42SGD1883.44381901.57951892.511619-Apr-24
43TRY78.900179.664679.282419-Apr-24
44UGX0.64660.67850.662519-Apr-24
45USD2562.8022588.432575.61619-Apr-24
46GOLD6110411.87736172836.09546141623.986419-Apr-24
47ZAR134.3364135.652134.994219-Apr-24
48ZMK97.487101.308499.397719-Apr-24
49ZWD0.47960.48930.484419-Apr-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news