Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 13,2024

ARUSHA-Wanafunzi saba wa Shule ya Msingi Ghati Memorial wanahofiwa kufariki dunia baada ya gari la shule lenye namba za usajili T 496 EFK waliokuwemo kuangukia kwenye korongo lililojaa maji eneo la Dampo, Kata ya Muriet mkoani Arusha.


Korongo hilo lililojaa maji yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia Aprili 12, 2024, ilisababisha maji kufurika Mto Themi na barabarani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news