Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 15,2024

ARUSHA-Maelfu ya wakazi wa Jiji la Arusha wakiwa na majonzi,vilio na simanzi walijitokeza kuiaga miili ya wanafunzi saba na msamaria mmoja aliyejaribu kuokoa maisha ya watoto na kufa maji waliokuwa kwenye gari la Shule ya Msingi Ghati Memorial.












Watoto hao walikumbwa na mauti Aprili 12,mwaka huu majira ya saa 12.30 asubuhi baada ya gari la shule hiyo walilokuwa wamepakiwa lenye namba T 496 EFL kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo la maji kasi ya mvua katika Mtaa wa Engosengiu,Sinoni katika jijinla Arusha.






Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news