Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 19,2024

NAIROBI-Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa Dkt.William Ruto ametangaza kifo cha Mkuu wa Majeshi nchini humo Jenerali Francis Omondi Ogolla ambaye alikuwa miongoni mwa viongozi 11 wa jeshi la Kenya waliokuwa kwenye helikopta ya jeshi la kikosi cha anga huku wengine wawili wakinusurika.Kufuatia kifo hicho Rais William Ruto ametangaza siku tatu za mambolezo kuanzia leo Aprili 19, 2024.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news