Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 23,2024

DODOMA-Serikali imesikia kilio cha wabunge cha kutaka watumishi wa serikali walio katika ndoa kutotenganishwa na wenza wao sehemu wanapofanya kazi, ikisema mwaka huu wa fedha watahakikisha wenza wanapohamishwa wanakwenda na wenza wao.
“Kila mtumishi mwenye mwenza wa kweli atakwenda kufanya kazi mahali pamoja, siyo lazima kiwe kituo kimoja cha kazi kama ni walimu basi mmoja atafundisha shule hii na mwingine atafundisha shule hii. Lakini mahali ambapo jioni wanakwenda kulala pamoja,” amesema Waziri wa Ofisi ya Rais-Utumishi, Mheshimiwa George Simbachawene

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news