Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 4,2024

DODOMA-Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax amesema, katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano, Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limechangia kwa kiasi kikubwa Taifa kuwa na uchumi imara kwa kulinda amani na Katiba ya nchi.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news