PICHA:Gavana Tutuba ashiriki mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za Afrika jijini Washington DC


Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, akifuatilia mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za Afrika, waliojadili maeneo ya kipaumbele ambayo nchi za Afrika zinahitaji kuyasukuma kama agenda mahususi katika mikutano ya kundi la nchi 20 tajiri duniani (G20) baada Umoja wa Africa kupewa kiti katika kundi hilo.
Mkutano huo umefanyika katika Ofisi za Kamisheni ya Umoja wa Afrika, kando ya mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IM) jijini Washington D.C, Marekani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news