Rais Dkt.Samia ateta na Rais Recep Tayyip Erdoğan nchini Uturuki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan mara baada ya kuwasili katika lkulu ya Kulliye Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu ya Kulliye Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu ya Kulliye Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024. Kushoto ni Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdoğan.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdoğan mara baada ya kukagua Gwaride la Heshima katika viwanja vya Ikulu ya Kulliye Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdoğan kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Kulliye Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news