Spika Dkt.Tulia awapa faraja wananchi waliothiriwa na maporomoko ya udongo Mbeya

MBEYA-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 21 Aprili, 2024 amewatembelea Wananchi mbalimbali walioathirika na maporomoko ya udongo yaliyotokea tarehe 13 Aprili, 2024 katika eneo la Kawetere Kata ya Itezi Jijini Mbeya.
Pamoja na mambo mengine, Dkt. Tulia amekabidhi misaada mbalimbali kwa waathirika ikiwemo vyakula, mafuta, magodoro n.k ambavyo vimetolewa na Serikali kwa kushirikiana na Dkt. Tulia ambavyo vimegharimu zaidi ya Shilingi Milioni 40.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news