Jukwaa la Wadau wa Maji Wilaya ya Ludewa kukutana saa nne Mei 5,2024

✅Utekelezaji wa ajenda ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kumtua Mama ndoo kichwani

✅Taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa

✅Mipango na Mikakati ya upatikanaji wa huduma ya Maji Wilayani Ludewa

✅Utunzaji wa vyanzo vya maji Ludewa

Washiriki: Kamati ya Usalama, Kamati ya Siasa, Madiwani, Ma-Afisa Tarafa, Watendaji wa Kata, CMT; Wilayani Ludewa

Eneo: Ukumbi wa Halmashauri

Tarehe: 05/05/2024

Muda: Saa Nne Asubuhi

*#Ludewa #LudewaYetu*

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news