Walimu na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Shule ya Kimataifa ya DCT Canon Andrea wametembelea Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dodoma na kupata fursa ya kujifunza kuhusu majukumu mbalimbali ya Benki Kuu, utambuzi wa alama za usalama katika noti za Tanzania pamoja na uwekezaji katika Dhamana za Serikali.UDOM, DCT Canon Andrea watembelea Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dodoma
Walimu na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Shule ya Kimataifa ya DCT Canon Andrea wametembelea Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini Dodoma na kupata fursa ya kujifunza kuhusu majukumu mbalimbali ya Benki Kuu, utambuzi wa alama za usalama katika noti za Tanzania pamoja na uwekezaji katika Dhamana za Serikali.