Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 11,2024

MWANZA-Mmoja kati ya wakuu wa mikoa iliyopo Kanda ya Ziwa anatuhumiwa kumwingilia kinyume na maumbile na kumlawiti mwanafunzi wa kike anayesoma katika Chuo Kikuu cha St. Augustine jijini Mwanza. Kanda ya Ziwa inaundwa na Mkoa wa Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita.
Inadaiwa kuwa, mwanaume huyo ambaye ni mkuu ni miongoni mwa wakuu wa mikoaa nje ya Mkoa wa Mwanza alitenda kosa hilo Juni 2, 2024, majira ya saa 20:30 katika maegesho ya magari ya Bar, maarufu iitwayo THE CASK iliyopo jijini Mwanza, ambapo alimwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 21 jina linahifadhiwa anayesoma Shahada ya Kwanza ya Ugavi na Manunuzi katika chuo hicho.
Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news