DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Juni 22,2024 Ikulu jijini Dar es Salaam amempokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Mheshimiwa Umaro Sissoco Embaló ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Mhe. Umaro Sissoco Embaló leo tarehe 22 Juni, 2024 Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Embaló yuko nchini kwa ziara ya kikazi.
