Magazeti leo Julai 7,2024

DAR-Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuanzia leo Julai 7, 2024 makada wapya wa chama hicho, Upendo Peneza na Mchungaji Peter Msigwa wataanza kuonekana katika majukwaa ya CCM kueleza sababu ya kuhama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na wana CCM kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee Makalla ambaye ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam amesema, kupitia majukwaa mbalimbali, Mchungaji Msigwa na Peneza watakwenda kuwaeleza ukweli Watanzania.
Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

1 Comments

  1. HELA ZETU ZA NCHI WATU WANACHEZEA KWELI, WANASIASA WANATUFANYA SISI MBUMBUMBU, TUNATAKA MAENDELEO NA SIO PROPAGANDA ZA SIASA KUHAMAHAMA VYAMA NI MBINU YA KUPUMBAZA WANACHI WASIHOJI MAMBO YA MUHIMU. TAARIFA YA CAG INAONESHA FEDHA ZIMEFUJWA VYA KUTOSHA ILA VIONGIZI WA SERIKALI WAPO KIMYA KUHUSU HILO, HIZO NI FEDHA ZETU WANANCHI, ONENI AIBU NINYI WANASIASA NA WAPAMBE WENU. MUNGU ATAWAADHIBU SIKU SI NYINGI KWA MNAYOFANYIA WANYONGE WA NCHI HII

    ReplyDelete
Previous Post Next Post

International news