Rais wa IPU,Dkt.Tulia awasili Urusi kushiriki BRICS 2024

ST.PETERSBURG- Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Julai 10, 2024 amewasili St. Petersburg nchini Urusi ambapo amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Mhe. Fredrick Kibuta.
Dkt. Tulia anatarajia kushiriki Mkutano wa BRICS 2024 utakaofanyika nchini humo kuanzia tarehe 11-12 Julai, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news