VIDEO:Balozi Kasike ajadiliana na Dkt.Jumbe

ZANZIBAR-Mheshimiwa Phaustine Kasike, Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Katibu Mkuu, Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale (Zanzibar), Dkt.Aboud Suleiman Jumbe na kujadiliana namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya Msumbiji na Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news