NEW YORK-Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa kesho Septemba 27,2024 kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia kikao cha 79 cha Bara Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79) jijini New York,Marekani.